Welcome to Leadership Institute of Tanzania

Leadership Institute of Tanzania (LITa) is a subsidiary of TRETEM Network of Schools Ltd and an institution dealing with training of various groups of people in the society. These include Employees in Management/Leadership positions, Special groups like Women, Youth and People with disabilities.

LITa as a member of Union of Training Institutions (UTI) is aimed at enabling such groups of people achieve their public leadership goals through training and capacity building methods.

News, Events and Announcement

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI FUPI YA KUANDA GRAPHIC ZA VYOMBO VYA ELECTRONIC NA MAGAZETI


Posted on 2018-04-09 07:33:19

    Graphics nzuri inawezekana na inawezekana kwa kupitia mafunzo ya uhakika kutoka Dar es salaam School of Journalism(DSJ),karibu usome kozi hii ili uweze kujiajiri na upate kipato kikubwa kupitia Graphics and Designing.Karibu DSJ...

Read More

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI FUPI YA HUDUMA KWA WATEJA KWENYE BUS


Posted on 2018-04-09 05:53:15

Kazi ya kuendesha Mabasi ya starehe ni Kazi kama zilivyo kazi zingine,Abiria wa mabasi nao wanahitaji huduma bora njoo DSJ kwa kozi fupi ya Huduma kwa Wateja kwenye Mabasi ili uwaridhishe wateja wako.Karibu sana DSJ...

Read More

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI YA UIGIZAJI WA FILAMU


Posted on 2018-04-09 05:26:17

KOZI YA UIGIZAJI WA FILAMU   Usikubali kuigiza tu bila kupata KNOW-HOWS utajitia Aibu kwani Fursa za kukuza Uweledi zinaendelea, sasa ni kiwanda cha Filamu cha Tanzania, njoo DSJ Usome nasi Kozi Fupi ya Uigizaji wa Filamu. karibu Sana DSJ        ...

Read More

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI YA MASOKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII


Posted on 2018-04-09 04:57:58

  Chuo cha Dsj Kinatambua kuwa Matumizi na Umuhimu wa mitandao ya kijamii imekuandalia kozi fupi ya Social Media Marketing karibu DSJ. Mawasiliano,tovuti, barua pepe Tazama katika picha ya Tangazo Hilo. Karibu DSJ    ...

Read More

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI YA UFUNDI WA KAMERA


Posted on 2018-04-09 04:48:01

Chuo cha Uandishi wa habari(DSJ) Kinatambua kuwa Matumizi ya Kamera yanaongezeka kila siku kwenye familia zetu na hata maofisini njoo Dsj kwa elimu bora ya kozi Fupi ya Ufundi wa Kamera hii itakusaidia kuwa Mtaaluma wa Kamera, asante na Karibu. Mawasiliano,tovuti, barua pepe Tazama katika picha y...

Read More

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ


Posted on 2018-03-28 08:30:11

    TUNAYOFURAHA YA KUKUKARIBISHA KARIBU SANA UJIUNGE NA NAFASI ZA MAFUNZO YA MUDA MFUPI CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (DSJ) CHENYE USAJIRI WA NACTE WA KUDUMU NA WA VETA TUNAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA NAFASI ZA MASOMO MBALIMBALI.1.Online Social Media Marketing.2.News Paper Des...

Read More

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ


Posted on 2018-03-28 08:11:26

TUNAYOFURAHA YA KUKUKARIBISHA KARIBU SANA UJIUNGE NA NAFASI ZA MAFUNZO YA MUDA MFUPI CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (DSJ) CHENYE USAJIRI WA NACTE WA KUDUMU NA WA VETA TUNAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA NAFASI ZA MASOMO MBALIMBALI.1.Online Social Media Marketing.2.News Paper Design.3. Camera Re...

Read More

MAHAFALI YA 21 CHUO CHA MOROGORO SCHOOL OF INNOVATION AND DEVELOPMENT STUDIES (MSIDS)


Posted on 2018-02-26 03:29:04

Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS wamefanya mahafali ya 21 yaliyofanyika Tarehe 24.02.2018 Jumamosi Muda wa saa 3 Asubuhi katika Ukumbi wa Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS Ndugu. John...

Read More

Our Partners