Posted on 2018-02-09 03:46:27

Umoja wa Taasisi za Mafunzo (Union of Training Institutions-UTI) wameanda mafunzo maalumu ya ICT na Online Social Media/Public Relation, Marketing , Advertsing kwaajili ya wafanyakazi Leo Tarehe 09.02.2018 Ijumaa katika Chuo cha Morogoro School Innovation and Development Studies(MSIDS/MSJ) Morogoro Nane Nane.

Mafunzo hayo yamelengwa kwaajili ya wanafanyakazi wa idara ya huduma Habari, mawasiliano na husiano kwa jamii.

  1. Dar es salaam Schoool Of Journalism - DSJ
  2. Morogoro School Innovation and Development Studies MSIDS/MSJ
  3. Leardship Instutite of Tanzania- LITa
  4. Tanga Elites Teachers College- TETCo
  5. Royal School of Tanzania - RCT

 

Tembelea:

Tovuti: lita.uti.ac.tz