CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI FUPI YA KUANDA GRAPHIC ZA VYOMBO VYA ELECTRONIC NA MAGAZETI
Posted on 2018-04-09 07:33:19
Graphics nzuri inawezekana na inawezekana kwa kupitia mafunzo ya uhakika kutoka Dar es salaam School of Journalism(DSJ),karibu usome kozi hii ili uweze kujiajiri na upate kipato kikubwa kupitia Graphics and Designing.Karibu DSJ...
Read MoreCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI FUPI YA HUDUMA KWA WATEJA KWENYE BUS
Posted on 2018-04-09 05:53:15
Kazi ya kuendesha Mabasi ya starehe ni Kazi kama zilivyo kazi zingine,Abiria wa mabasi nao wanahitaji huduma bora njoo DSJ kwa kozi fupi ya Huduma kwa Wateja kwenye Mabasi ili uwaridhishe wateja wako.Karibu sana DSJ...
Read MoreCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI YA UIGIZAJI WA FILAMU
Posted on 2018-04-09 05:26:17
KOZI YA UIGIZAJI WA FILAMU Usikubali kuigiza tu bila kupata KNOW-HOWS utajitia Aibu kwani Fursa za kukuza Uweledi zinaendelea, sasa ni kiwanda cha Filamu cha Tanzania, njoo DSJ Usome nasi Kozi Fupi ya Uigizaji wa Filamu. karibu Sana DSJ ...
Read MoreCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI YA MASOKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
Posted on 2018-04-09 04:57:58
Chuo cha Dsj Kinatambua kuwa Matumizi na Umuhimu wa mitandao ya kijamii imekuandalia kozi fupi ya Social Media Marketing karibu DSJ. Mawasiliano,tovuti, barua pepe Tazama katika picha ya Tangazo Hilo. Karibu DSJ ...
Read MoreCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ - KOZI YA UFUNDI WA KAMERA
Posted on 2018-04-09 04:48:01
Chuo cha Uandishi wa habari(DSJ) Kinatambua kuwa Matumizi ya Kamera yanaongezeka kila siku kwenye familia zetu na hata maofisini njoo Dsj kwa elimu bora ya kozi Fupi ya Ufundi wa Kamera hii itakusaidia kuwa Mtaaluma wa Kamera, asante na Karibu. Mawasiliano,tovuti, barua pepe Tazama katika picha y...
Read MoreCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ
Posted on 2018-03-28 08:30:11
TUNAYOFURAHA YA KUKUKARIBISHA KARIBU SANA UJIUNGE NA NAFASI ZA MAFUNZO YA MUDA MFUPI CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (DSJ) CHENYE USAJIRI WA NACTE WA KUDUMU NA WA VETA TUNAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA NAFASI ZA MASOMO MBALIMBALI.1.Online Social Media Marketing.2.News Paper Des...
Read MoreCHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ
Posted on 2018-03-28 08:11:26
TUNAYOFURAHA YA KUKUKARIBISHA KARIBU SANA UJIUNGE NA NAFASI ZA MAFUNZO YA MUDA MFUPI CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (DSJ) CHENYE USAJIRI WA NACTE WA KUDUMU NA WA VETA TUNAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA NAFASI ZA MASOMO MBALIMBALI.1.Online Social Media Marketing.2.News Paper Design.3. Camera Re...
Read MoreMAHAFALI YA 21 CHUO CHA MOROGORO SCHOOL OF INNOVATION AND DEVELOPMENT STUDIES (MSIDS)
Posted on 2018-02-26 03:29:04
Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS wamefanya mahafali ya 21 yaliyofanyika Tarehe 24.02.2018 Jumamosi Muda wa saa 3 Asubuhi katika Ukumbi wa Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS Ndugu. John...
Read MoreMAFUNZO YA ICT NA ONLINE SOCIAL MEDIA
Posted on 2018-02-09 03:46:27
Umoja wa Taasisi za Mafunzo (Union of Training Institutions-UTI) wameanda mafunzo maalumu ya ICT na Online Social Media/Public Relation, Marketing , Advertsing kwaajili ya wafanyakazi Leo Tarehe 09.02.2018 Ijumaa katika Chuo cha Morogoro School Innovation and Development Studies(MSIDS/MSJ) Morogor...
Read More