Posted on 2018-02-26 03:29:04

Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS wamefanya mahafali ya 21 yaliyofanyika Tarehe 24.02.2018 Jumamosi Muda wa saa 3 Asubuhi katika Ukumbi wa Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania

Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS Ndugu. John Kidasi

Wanafunzi ambao ni wahitimu katika mahafali ya 21 Chuo cha Morogoro School of Innovation and Development Studies MSIDS wamefanya yaliyofanyika leoTarehe 24.02.2018 Jumamosi Muda wa saa 3:00 Asubuhi katika Ukumbi wa Glonency Uliopo Mkoa wa Morogoro, Tanzania.