Posted on 2018-03-28 08:30:11
TUNAYOFURAHA YA KUKUKARIBISHA KARIBU SANA UJIUNGE NA NAFASI ZA MAFUNZO YA MUDA MFUPI CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (DSJ) CHENYE USAJIRI WA NACTE WA KUDUMU NA WA VETA TUNAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA NAFASI ZA MASOMO MBALIMBALI.
1.Online Social Media Marketing.
2.News Paper Design.
3. Camera Repair.
4.Mobile Phone Repair.
5.Graphic Design For Electronic & Printing Media.
Sifa: Muombaji awe na Uwezo ama Kipaji cha Fani husika au Anayefanya kazi husika na anataka kupata ujuzi Zaidi.
kwa Course nyingine
LONG COURSES:
JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (DIPLOMA NTA 6)
JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (TECHNICIAN CERTIFICATE NTA 5)
JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION (TECHNICIAN CERTIFICATE NTA 4)
NB: MUOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE AU ZAIDI KWA UFAULU WA MASOMO KUANZIA ANGALAU MAWILI (4) ALAMA YA 4 NA ZAIDI
INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY – NVA 1 CERTIFICATE
BUSINESS OPERATION ASSITANTANTS COURSE – NVA 1 CERTIFICATE
NB: MUOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE AU ZAIDI KWA UFAULU WA MASOMO KUANZIA ANGALAU MAWILI (2) ALAMA YA D NA ZAIDI
Karibu sana! Chuo cha Uandishi wa habari Dar es salaam,
Chuo kimesajliwa na Nacte NO_ PWF/012
Kwa Mawasiliano:
0756 680078
Email: info.dsj@uti.ac.tz
website:www.dsj.uti.ac.tz