Posted on 2018-04-09 04:48:01

Chuo cha Uandishi wa habari(DSJ) Kinatambua kuwa Matumizi ya Kamera yanaongezeka kila siku kwenye familia zetu na hata maofisini njoo Dsj kwa elimu bora ya kozi Fupi ya Ufundi wa Kamera hii itakusaidia kuwa Mtaaluma wa Kamera, asante na Karibu.

Mawasiliano,tovuti, barua pepe Tazama katika picha ya Tangazo Hilo.