Posted on 2018-04-09 05:53:15

Kazi ya kuendesha Mabasi ya starehe ni Kazi kama zilivyo kazi zingine,Abiria wa mabasi nao wanahitaji huduma bora njoo DSJ kwa kozi fupi ya Huduma kwa Wateja kwenye Mabasi ili uwaridhishe wateja wako.Karibu sana DSJ